Feature Top (Full Width)


Wednesday, 1 January 2014

"Siri ya mafanikio yangu ni Martin Kadinda...Yeye ndo mtu pekee aijuaye siri ya mafanikio yangu"...Wema Sepetu



MSANII nyota wa filamu Bongo Wema Isack Sepetu amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kuvunja urafiki na meneja wake Martin Kadinda kwa sababu kama kuna kitu chochote cha mafanikio nyuma yake yupo Kadinda.

BARAZA LA MAWAZI LAIVA....MAWAZIRI, WABUNGE WAITWA DAR, DK. NCHIMBI, KAGASHEKI WAMO




RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kuipanga upya safu ya Baraza lake la Mawaziri wakati wowote, huku baadhi ya wabunge na mawaziri wakitakiwa kusitisha mapumziko yao ya mwisho wa mwaka na kurejea jijini Dar es Salaam haraka.

Habari Ya Kifo: Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa afariki dunia....



 
Waziri wa Fedha, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Iringa, William Mgimwa amefariki dunia leo akiwa hospitali ya Mediclinic Kloff, Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa.

HOTUBA YA RAIS KIKWETE KWA WATANZANIA KUUFUNGA MWAKA 2013 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2014




SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA,
TAREHE 31 DESEMBA, 2013

Tuesday, 31 December 2013

Watoto wafungiwa ndani kwa miezi sita na shangazi yao jijini Dar....Wanyimwa chakula na kubebeshwa Kinyesi ( mavi ) kila siku




“TUNAJUA shangazi anatutesa kwa sababu baba na mama wapo mbali, kama wangekuwepo hapa tusingeteswa hivi.

Picha za mwanaume aliyepanda juu ya mnara wa simu jijini Dar na kugoma kushuka mpaka Rais Kikwete aje asikilize kero zake



Mwanaume mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepanda juu ya mnara wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom uliopo Ubungo katika eneo la ofisi za Shirika la Viwango Tanzania (TBS)  jijini Dar es Salaam na kutaka kujirusha.

WANAFUNZI WA UDAKTARI MUHIMBILI HATARINI

                       
-AMA KWELI MGANGA HAJIGANGI
WANAFUNZI wanaosomea udaktari katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) wanaishi katika mazingira hatarishi kwani wanaweza kupata magonjwa ya mlipuko na yale ya kuambukizwa wakati wowote.