Feature Top (Full Width)


Saturday, 28 December 2013

HOSTELI ZA VYUO ZAGEUZWA MADANGULO YA KUPIGIA PICHA ZA NGONO ;; USHAHIDI WENYEWE NI HUU HAPA ;; NI AIBU TUPU


hebu tizama.....hizi picha jamaniiiiii eti ni wanafunzi!!!!!!















Hali ya mitindo ya mavazi kwa dada hapa nchini kwa sasa imekuwa gumzo kutokana na baadhi yao kutumia vibaya uhuru tulio nao,kwa sasa kuvaa nguo fupi na kutembea barabarani ni kitu cha kawaida.kutokana na hali hiyo dada zetu wa vyuo mbalimbali nchini wamekuwa wakivaa mavazi hayo na kupiganayo picha, ambapo kitu hicho kimekuwa kikiwaharibia sifa zao kwa siku za hivi karibuni.

Na kutokana na tatizo hili wazazi wetu tunapaswa kuamka sasa na kulivalia njuga swala hili la watoto wetu kuvaa nguo fupi na kupiga picha za nusu uchi

No comments:

Post a Comment