Timu ya Arsenal imejihakikishia kumaliza mwaka 2013 ikiwa kileleni mwa Ligi Kuu ya England
baada ya kuifunga Newcastle bao 1-0 kwenye mechi iliyopigwa Uwanja wa
St. James' Park hivi punde. Kwa ushindi wa leo Arsenal imefikisha pointi
42 ambapo hakuna timu nyingine yoyote itakayozifikisha kwa mwaka huu.
No comments:
Post a Comment